Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yobu 4:13 - Linganisha Matoleo Yote

Yobu 4:13 BHN (Biblia Habari Njema)

Nikiwa katika mawazo ya njozi za usiku, wakati usingizi mzito huwashika watu

Shirikisha
Yobu 4 BHN

Yobu 4:13 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Katika mawazo yaliyotoka katika maono ya usiku, Hapo usingizi mzito uwaangukiapo wanadamu.

Shirikisha
Yobu 4 SUV

Yobu 4:13 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Katika mawazo yaliyotoka katika maono ya usiku, Hapo usingizi mzito uwaangukiapo wanadamu.

Shirikisha
Yobu 4 SRUV

Yobu 4:13 NEN (Neno)

Katikati ya ndoto za kutia wasiwasi wakati wa usiku, hapo usingizi mzito uwapatapo wanadamu

Shirikisha
Yobu 4 NEN