Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yobu 9:5 - Linganisha Matoleo Yote

Yobu 9:5 BHN (Biblia Habari Njema)

Yeye huiondoa milima bila yenyewe kutambua, huibomolea mbali kwa hasira yake.

Shirikisha
Yobu 9 BHN

Yobu 9:5 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Aiondoaye milima, nayo haina habari, Akiipindua katika hasira zake.

Shirikisha
Yobu 9 SUV

Yobu 9:5 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Aiondoaye milima, nayo haina habari, Akiipindua katika hasira zake.

Shirikisha
Yobu 9 SRUV

Yobu 9:5 NEN (Neno)

Aiondoa milima bila yenyewe kujua na kuipindua kwa hasira yake.

Shirikisha
Yobu 9 NEN