Yoeli 1:14
Yoeli 1:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Toeni amri watu wafunge; itisheni mkutano wa kidini. Kusanyeni wazee na wakazi wote wa nchi, nyumbani kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na humo mkamlilie Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Yoeli 1Yoeli 1:14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Takaseni saumu, iteni kusanyiko la dini, Wazee na wakusanye wenyeji wote wa nchi; Waende nyumbani kwa BWANA, Mungu wenu, Na kumlilia BWANA
Shirikisha
Soma Yoeli 1