Yoeli 2:31
Yoeli 2:31 Biblia Habari Njema (BHN)
Jua litatiwa giza, na mwezi utakuwa mwekundu kama damu, kabla ya kufika siku ya Mwenyezi-Mungu, siku iliyo kuu na ya kutisha.
Shirikisha
Soma Yoeli 2Yoeli 2:31 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jua litageuzwa kuwa giza, na mwezi kuwa damu, kabla haijaja hiyo siku ya BWANA iliyo kuu na itishayo.
Shirikisha
Soma Yoeli 2