Yona 1:17
Yona 1:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha, Mwenyezi-Mungu akaamuru samaki mkubwa ammeze Yona, naye akawa tumboni mwa samaki huyo kwa muda wa siku tatu, usiku na mchana.
Shirikisha
Soma Yona 1Yona 1:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akaweka tayari samaki mkubwa ili ammeze Yona, naye Yona akawa ndani ya tumbo la samaki yule muda wa siku tatu, mchana na usiku.
Shirikisha
Soma Yona 1