Yona 3:5
Yona 3:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, watu wa Ninewi wakauamini ujumbe wa Mungu, wakatangaza mfungo, na kwamba kila mmoja wao, mkubwa kwa mdogo, avae vazi la gunia kama ishara ya kutubu.
Shirikisha
Soma Yona 3Yona 3:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi watu wa Ninawi wakamwamini Mungu; wakatangaza kufunga, wakajivika nguo za magunia, kuanzia yeye aliye mkubwa hadi aliye mdogo.
Shirikisha
Soma Yona 3