Yoshua 1:18
Yoshua 1:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu yeyote atakayeasi amri yako au kukataa kutii maneno yako au jambo lolote unalomwamuru, atauawa. Wewe, lakini, uwe na nguvu na kuwa hodari.”
Shirikisha
Soma Yoshua 1Yoshua 1:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kila mtu atakayeiasi amri yako, asiyasikilize maneno yako katika mambo yote utakayomwamuru, atauawa. Uwe hodari na moyo wa ushujaa, hilo tu.
Shirikisha
Soma Yoshua 1