Yoshua 1:2
Yoshua 1:2 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mtumishi wangu Mose amefariki, sasa vukeni mto Yordani, wewe pamoja na Waisraeli wote hadi kwenye nchi ile ambayo ninawapa.
Shirikisha
Soma Yoshua 1Yoshua 1:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Musa mtumishi wangu amefariki; sasa ondoka, vuka mto huu wa Yordani; wewe na watu hawa wote, mkaende hadi nchi niwapayo wana wa Israeli.
Shirikisha
Soma Yoshua 1