Yoshua 1:4
Yoshua 1:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Mipaka ya nchi yenu itakuwa hivi: Kusini ni jangwa, kaskazini ni milima ya Lebanoni, mashariki ni mto ule mkubwa Eufrate, kupitia nchi yote ya Wahiti hadi bahari ya Mediteranea upande wa magharibi.
Shirikisha
Soma Yoshua 1Yoshua 1:4 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Nchi yenu itaenea kuanzia jangwa hili hadi Lebanoni, tena kuanzia mto mkubwa wa Frati, yaani nchi yote ya Wahiti, hadi Bahari ile Kubwa iliyoko upande wa magharibi.
Shirikisha
Soma Yoshua 1