Yoshua 1:6
Yoshua 1:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Uwe imara na hodari kwa kuwa wewe utawaongoza watu hawa kuirithi nchi ambayo niliwaahidi wazee wao kuwa nitawapa.
Shirikisha
Soma Yoshua 1Yoshua 1:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Uwe hodari na moyo wa ushujaa, maana ni wewe utakayewarithisha watu hawa nchi hii niliyowaapia baba zao ya kwamba nitawapa.
Shirikisha
Soma Yoshua 1