Yoshua 1:7
Yoshua 1:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Ila tu, uwe imara na hodari; uwe mwangalifu na kuzingatia sheria yote aliyokuamuru mtumishi wangu Mose. Fuata kila sehemu ya sheria hiyo nawe utafanikiwa popote uendapo.
Shirikisha
Soma Yoshua 1Yoshua 1:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Uwe hodari tu na ushujaa mwingi, uangalie kutenda kulingana na sheria yote aliyokuamuru Musa mtumishi wangu; usiiache, kwenda mkono wa kulia, au wa kushoto, upate kufanikiwa sana kila uendako.
Shirikisha
Soma Yoshua 1