Yoshua 1:9
Yoshua 1:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Kumbuka kuwa mimi nimekuamuru uwe imara na hodari. Usiogope wala usifadhaike kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, niko pamoja nawe popote uendapo.”
Shirikisha
Soma Yoshua 1Yoshua 1:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Je! Si mimi niliyekuamuru? Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaike; kwa kuwa BWANA, Mungu wako, yu pamoja nawe kila uendako.
Shirikisha
Soma Yoshua 1Yoshua 1:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Je! Si mimi niliyekuamuru? Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaike; kwa kuwa BWANA, Mungu wako, yu pamoja nawe kila uendako.
Shirikisha
Soma Yoshua 1