Yoshua 10:14
Yoshua 10:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Siku kama hiyo haijawahi kuwako kamwe wala haijapata kuonekana tena, siku ambayo Mwenyezi-Mungu amemwitikia binadamu kwa namna hiyo; maana Mwenyezi-Mungu mwenyewe aliwapigania Waisraeli.
Shirikisha
Soma Yoshua 10Yoshua 10:14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Haikuwapo siku nyingine mfano wa siku hiyo katika siku zilizotangulia mbele yake wala katika hizo zilizoandama baada yake, hata ikawa yeye BWANA kuisikia sauti ya binadamu; kwa kuwa BWANA alipiga vita kwa ajili ya Israeli.
Shirikisha
Soma Yoshua 10