Yoshua 10:25
Yoshua 10:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Yoshua akawaambia “Msiogope, wala msiwe na wasiwasi, muwe imara na hodari, maana hivi ndivyo Mwenyezi-Mungu atakavyowatendea adui zenu ambao mtapigana nao. Kwa hiyo, muwe imara na hodari.”
Shirikisha
Soma Yoshua 10Yoshua 10:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yoshua akawaambia, Msiogope, wala msifadhaike; iweni hodari na wa mioyo ya ushujaa; kwa kuwa ndivyo BWANA atakavyowafanyia adui zenu wote ambao mnapigana nao.
Shirikisha
Soma Yoshua 10