Yoshua 24:16
Yoshua 24:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hao watu wakajibu wakasema, Hasha! Tusimwache BWANA, ili kuitumikia miungu mingine
Shirikisha
Soma Yoshua 24Yoshua 24:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo watu wakamjibu, “Hatutaweza kamwe kumwacha Mwenyezi-Mungu na kuitumikia miungu mingine.
Shirikisha
Soma Yoshua 24