Yoshua 3:5
Yoshua 3:5 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ndipo Yoshua akawaambia hao watu, “Jitakaseni, kwa kuwa kesho BWANA atatenda mambo ya kushangaza katikati yenu.”
Shirikisha
Soma Yoshua 3Yoshua 3:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Yoshua akawaambia watu, “Jitakaseni kwa kuwa kesho Mwenyezi-Mungu atatenda maajabu kati yenu.”
Shirikisha
Soma Yoshua 3