Yoshua 3:7
Yoshua 3:7 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ndipo BWANA akamwambia Yoshua, “Leo nitaanza kukutukuza machoni pa Israeli yote, ili wapate kujua kuwa niko pamoja nawe kama nilivyokuwa pamoja na Mose.
Shirikisha
Soma Yoshua 3Yoshua 3:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua: “Leo hii, nitaanza kukutukuza mbele ya watu wote wa Israeli ili wajue kwamba, kama vile nilivyokuwa pamoja na Mose, ndivyo pia nitakavyokuwa pamoja nawe.
Shirikisha
Soma Yoshua 3