Yoshua 4:24
Yoshua 4:24 Biblia Habari Njema (BHN)
ili watu wote wa dunia wajue kuwa mkono wa Mwenyezi-Mungu una nguvu; nanyi mpate kumcha Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, milele.”
Shirikisha
Soma Yoshua 4Yoshua 4:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
watu wote wa duniani wapate kujua mkono wa BWANA, ya kuwa ni mkono wenye uweza, na ili nanyi mpate kumcha BWANA, Mungu wenu, milele.
Shirikisha
Soma Yoshua 4