Yoshua 6:2
Yoshua 6:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua, “Angalia! Mimi nitautia mikononi mwako mji wa Yeriko pamoja na mfalme wake na askari wake shujaa.
Shirikisha
Soma Yoshua 6Yoshua 6:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
BWANA akamwambia Yoshua, Tazama, nimeutia Yeriko katika mkono wako, na mfalme wake, na mashujaa wake.
Shirikisha
Soma Yoshua 6