Yoshua 6:4
Yoshua 6:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Makuhani saba, kila mmoja akiwa amechukua baragumu yake ya pembe za kondoo dume, watatangulia mbele ya sanduku la agano. Katika siku ya saba mtauzunguka mji huo mara saba, huku makuhani wakipiga mabaragumu.
Shirikisha
Soma Yoshua 6Yoshua 6:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na makuhani saba watachukua baragumu saba za pembe za kondoo dume, watatangulia mbele za hilo sanduku; na siku ya saba mtauzunguka mji mara saba, nao makuhani watapiga baragumu zao.
Shirikisha
Soma Yoshua 6