Yoshua 7:11
Yoshua 7:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Waisraeli wametenda dhambi, maana wamelivunja agano langu nililowaamuru washike; wamevichukua baadhi ya vitu vilivyowekwa wakfu viangamizwe; wameviiba na kudanganya, wakaviweka pamoja na vitu vyao.
Shirikisha
Soma Yoshua 7Yoshua 7:11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Israeli wamefanya dhambi, naam, wamelivunja agano langu nililowaagiza; naam, wametwaa baadhi ya vitu vilivyowekwa wakfu; tena wameiba, tena wameficha na kuvitia pamoja na vitu vyao wenyewe.
Shirikisha
Soma Yoshua 7