Yoshua 7:12
Yoshua 7:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo Waisraeli hawawezi kuwakabili maadui zao; wanawakimbia adui zao kwa sababu wamejifanya wenyewe kuwa kitu cha kuangamizwa! Sitakuwa pamoja nao tena msipoharibu vitu vilivyomo kati yenu vilivyotolewa viangamizwe.
Shirikisha
Soma Yoshua 7Yoshua 7:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ndiposa wana wa Israeli hawawezi kusimama mbele ya adui zao; wakawapa visogo adui zao, kwa sababu wamelaaniwa; mimi sitakuwa pamoja nanyi tena, msipokiharibu kitu kile mlicho nacho kilichowekwa wakfu.
Shirikisha
Soma Yoshua 7