Yoshua 9:14
Yoshua 9:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Hivyo, Waisraeli wakachukua vyakula vyao, bila ya kumwuliza shauri Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Yoshua 9Yoshua 9:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi wakuu hao wakatwaa katika vyakula vyao, wala wasitake shauri kinywani mwa BWANA.
Shirikisha
Soma Yoshua 9