Maombolezo 3:22-23
Maombolezo 3:22-23 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi. Ni mpya kila siku asubuhi; Uaminifu wako ni mkuu.
Shirikisha
Soma Maombolezo 3Maombolezo 3:22-23 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwamba fadhili za Mwenyezi-Mungu hazikomi, huruma zake hazina mwisho. Kila kunapokucha ni mpya kabisa, uaminifu wake ni mkuu mno.
Shirikisha
Soma Maombolezo 3Maombolezo 3:22-23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi. Ni mpya kila siku asubuhi; Uaminifu wako ni mkuu.
Shirikisha
Soma Maombolezo 3