Maombolezo 5:21
Maombolezo 5:21 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ee BWANA, utugeuze kwako, nasi tutageuka; Zifanye mpya siku zetu kama siku za kale.
Shirikisha
Soma Maombolezo 5Maombolezo 5:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Uturekebishe ee Mwenyezi-Mungu, nasi tukurudie, uturudishie fahari yetu kama zamani.
Shirikisha
Soma Maombolezo 5