Walawi 10:1
Walawi 10:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Nao Nadabu na Abihu, wanawe Aroni, walichukua kila mmoja chetezo chake, wakaweka moto na ubani, wakamtolea Mwenyezi-Mungu moto najisi, ambao haukulingana na agizo lake Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Walawi 10Walawi 10:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na Nadabu na Abihu, wana wa Haruni, wakatwaa kila mtu chetezo chake, wakatia moto ndani yake, wakatia na uvumba, nao wakatoa moto najisi mbele ya BWANA, ambao yeye hakuwaagiza.
Shirikisha
Soma Walawi 10