Walawi 18:21
Walawi 18:21 Biblia Habari Njema (BHN)
“Kamwe usimtoe mtoto wako yeyote kuwa sadaka kwa mungu Moleki maana kufanya hivyo utalikufuru jina langu mimi Mungu wako. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Walawi 18Walawi 18:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usimtoe kafara mzawa wako yeyote kwa Moleki na ulinajisi jina la Mungu wako; mimi ndimi BWANA.
Shirikisha
Soma Walawi 18