Walawi 18:23
Walawi 18:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Kamwe usilale na mnyama ili usijitie najisi; mwanamume au mwanamke yeyote kamwe asifanye hivyo; kufanya hivyo ni upotovu.
Shirikisha
Soma Walawi 18Walawi 18:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wala usilale na mnyama yeyote, ili kujitia unajisi kwake; wala mwanamke asisimame mbele ya mnyama ili kulala naye; ni upotovu.
Shirikisha
Soma Walawi 18