Walawi 19:18
Walawi 19:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Usijilipize kisasi au kuwa na kinyongo dhidi ya wazawa wa watu wako bali umpende jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Walawi 19Walawi 19:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usifanye kisasi, wala kuwa na kinyongo juu ya wana wa watu wako; bali umpende jirani yako kama nafsi yako; Mimi ndimi BWANA.
Shirikisha
Soma Walawi 19