Walawi 19:2
Walawi 19:2 Biblia Habari Njema (BHN)
“Iambie jumuiya yote ya watu wa Israeli hivi: Ni lazima muwe watakatifu kwani mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ni mtakatifu.
Shirikisha
Soma Walawi 19Walawi 19:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nena na mkutano wote wa wana wa Israeli, uwaambie, Mtakuwa watakatifu; kwa kuwa mimi BWANA, Mungu wenu, ni mtakatifu.
Shirikisha
Soma Walawi 19