Walawi 19:31
Walawi 19:31 Biblia Habari Njema (BHN)
“Msiwaendee waaguzi wa mizimu wala wachawi ili kuwaomba wawaagulie na hivyo mkajitia najisi. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.
Shirikisha
Soma Walawi 19Walawi 19:31 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Msiwaendee wenye pepo, wala wachawi; msiwatafute; ili kutiwa unajisi na wao; Mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.
Shirikisha
Soma Walawi 19