Walawi 2:13
Walawi 2:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Utakoleza sadaka zako zote za nafaka kwa chumvi. Kamwe usiache kuweka chumvi katika sadaka yako ya nafaka, kwani chumvi ni ishara ya agano alilofanya Mungu pamoja nanyi.
Shirikisha
Soma Walawi 2Walawi 2:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena, kila toleo la sadaka yako ya unga utalitia chumvi; wala usiiache sadaka yako ya unga kupungukiwa na chumvi ya agano la Mungu wako; utatoa chumvi pamoja na matoleo yako yote.
Shirikisha
Soma Walawi 2