Walawi 20:13
Walawi 20:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama mwanamume yeyote akilala na mwanamume mwenzake kana kwamba ni mwanamke, basi, wote wawili ni lazima wauawe kwani wamefanya jambo lililo chukizo; watawajibika kwa umwagaji wa damu yao wenyewe.
Shirikisha
Soma Walawi 20Walawi 20:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena mwanamume akilala pamoja na mwanamume, kama alalavyo na mwanamke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauawa; damu yao itakuwa juu yao.
Shirikisha
Soma Walawi 20