Walawi 26:10
Walawi 26:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati wa mavuno mtakuwa bado mnakula mazao ya zamani; tena itawalazimu kuondoa yaliyobaki kupata nafasi ya kuhifadhi mavuno mapya.
Shirikisha
Soma Walawi 26Walawi 26:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nanyi mtakula akiba ya zamani mliyoiweka siku nyingi, tena hayo ya zamani mtayatoa, ili myaweke yaliyo mapya.
Shirikisha
Soma Walawi 26