Walawi 26:12
Walawi 26:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitatembea kati yenu na kuwa Mungu wenu nanyi mtakuwa watu wangu.
Shirikisha
Soma Walawi 26Walawi 26:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nitakwenda kati yenu, nami nitakuwa Mungu wenu, nanyi mtakuwa watu wangu.
Shirikisha
Soma Walawi 26