Walawi 26:13
Walawi 26:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, niliyewatoa nchini Misri ili msiwe watumwa wa Wamisri. Mimi nimevunja nira mliyofungiwa shingoni mwenu na kuwafanya mtembee wima.
Shirikisha
Soma Walawi 26Walawi 26:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mimi ndimi BWANA, Mungu wenu, niliyewaleta mtoke katika nchi ya Misri, ili msiwe watumwa wao; nami nimeivunja miti ya kongwa lenu, nikawafanya mwende sawasawa.
Shirikisha
Soma Walawi 26