Walawi 26:4
Walawi 26:4 Biblia Habari Njema (BHN)
nitawanyeshea mvua wakati ufaao, nchi ipate kuzaa mavuno kwa wingi, nayo miti ya mashambani matunda yake.
Shirikisha
Soma Walawi 26Walawi 26:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ndipo nitazinyesha mvua zenu kwa nyakati zake, na nchi itazaa mavuno yake, na miti ya mashambani itazaa matunda yake.
Shirikisha
Soma Walawi 26