Walawi 26:8
Walawi 26:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Watano wenu watawafukuza adui 100 na 100 wenu watawafukuza adui 10,000. Adui zenu wataangamia mbele yenu kwa upanga.
Shirikisha
Soma Walawi 26Walawi 26:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na watu watano wa kwenu watawafukuza watu mia moja, na watu mia moja wa kwenu watawafukuza watu elfu kumi; na adui zenu wataanguka mbele yenu kwa upanga.
Shirikisha
Soma Walawi 26