Walawi 26:9
Walawi 26:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitawafadhili na kuwajalia mpate watoto wengi na kuongezeka; nami nitaliimarisha agano langu nanyi.
Shirikisha
Soma Walawi 26Walawi 26:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nitawaelekezea uso wangu, na kuwapa uzazi mwingi, na kuwaongeza; nami nitalithibitisha agano langu pamoja nanyi.
Shirikisha
Soma Walawi 26