Walawi 5:1 - Linganisha Matoleo Yote
Walawi 5:1 BHN (Biblia Habari Njema)
“Kama mtu yeyote akitakiwa kutoa ushahidi kwenye baraza juu ya jambo aliloona au kulisikia naye akakataa kusema kitu, basi, huo ni uovu na atauwajibikia.
Shirikisha
Walawi 5 BHNWalawi 5:1 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mtu awaye yote akifanya dhambi, kwa kuwa ameisikia sauti yenye kuapisha, naye akawa ni shahidi, kwamba aliona au kujua, asipolifunua neno lile, ndipo atakapochukua uovu wake mwenyewe
Shirikisha
Walawi 5 SUVWalawi 5:1 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Na mtu yeyote akifanya dhambi, kwa kuwa ameisikia sauti yenye kuapisha, naye akawa ni shahidi, kwamba aliona au kujua, asipolifunua neno lile, ndipo atakapochukua uovu wake mwenyewe
Shirikisha
Walawi 5 SRUVWalawi 5:1 NEN (Neno)
“ ‘Ikiwa mtu ametenda dhambi kwa sababu hakusema alipotakiwa kutoa ushahidi hadharani kuhusu jambo aliloona au kujua habari zake, yeye atastahili adhabu.
Shirikisha
Walawi 5 NEN