Luka 13:27
Luka 13:27 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naye atasema, Nawaambia, Siwajui mtokako; ondokeni kwangu ninyi nyote mlio wafanyaji wa udhalimu.
Shirikisha
Soma Luka 13Luka 13:27 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
“Lakini yeye atawajibu, ‘Siwajui ninyi, wala mtokako. Ondokeni kwangu, ninyi watenda maovu!’
Shirikisha
Soma Luka 13