Luka 15:4
Luka 15:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ni nani kwenu, mwenye kondoo mia, akipotewa na mmojawapo, asiyewaacha wale tisini na kenda nyikani, aende akamtafute yule aliyepotea hata amwone?
Shirikisha
Soma Luka 15Luka 15:4 Biblia Habari Njema (BHN)
“Hivi, mmoja wenu akiwa na kondoo 100, akigundua kwamba mmoja wao amepotea, atafanya nini? Atawaacha wale tisini na tisa mbugani, na kwenda kumtafuta yule aliyepotea mpaka ampate.
Shirikisha
Soma Luka 15