Luka 18:1
Luka 18:1 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kisha Yesu akawapa wanafunzi wake mfano ili kuwaonyesha kuwa yawapasa kuomba pasipo kukata tamaa.
Shirikisha
Soma Luka 18Luka 18:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Yesu aliwasimulia mfano kuonesha kwamba ni lazima kusali daima bila kukata tamaa.
Shirikisha
Soma Luka 18