Luka 19:39-40
Luka 19:39-40 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Baadhi ya Mafarisayo waliokuwa katika mkutano wakamwambia, Mwalimu, uwakanye wanafunzi wako. Akajibu, akasema, Nawaambia ninyi, wakinyamaza hawa, mawe yatapiga kelele.
Shirikisha
Soma Luka 19Luka 19:39-40 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo baadhi ya Mafarisayo waliokuwako katika lile kundi la watu wakamwambia Yesu, “Mwalimu, wanyamazishe wanafunzi wako!” Yesu akawajibu, “Nawaambieni, kama hawa wakinyamaza, hakika hayo mawe yatapaza sauti.”
Shirikisha
Soma Luka 19