Luka 19:5-6
Luka 19:5-6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na Yesu, alipofika mahali pale, alitazama juu, akamwambia, Zakayo, shuka upesi, kwa kuwa leo imenipasa kushinda nyumbani mwako. Akafanya haraka, akashuka, akamkaribisha kwa furaha.
Shirikisha
Soma Luka 19Luka 19:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Yesu alipofika mahali pale, aliangalia juu akamwambia, “Zakayo, shuka upesi, maana leo ni lazima nishinde nyumbani mwako.” Zakayo akashuka haraka, akamkaribisha kwa furaha.
Shirikisha
Soma Luka 19