Luka 2:13-14
Luka 2:13-14 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ghafula pakawa na jeshi kubwa la mbinguni pamoja na huyo malaika wakimsifu Mungu wakisema, “Atukuzwe Mungu juu mbinguni, na duniani iwe amani kwa watu aliowaridhia.”
Shirikisha
Soma Luka 2Luka 2:13-14 Biblia Habari Njema (BHN)
Mara kundi kubwa la jeshi la mbinguni likajiunga na huyo malaika, wakamsifu Mungu wakisema: “Utukufu kwa Mungu juu mbinguni, na amani duniani kwa watu anaowafadhili!”
Shirikisha
Soma Luka 2Luka 2:13-14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mara walikuwapo pamoja na huyo malaika, wingi wa jeshi la mbinguni, wakimsifu Mungu, na kusema, Atukuzwe Mungu juu mbinguni, Na duniani iwe amani kwa watu aliowaridhia.
Shirikisha
Soma Luka 2