Luka 2:48 - Linganisha Matoleo Yote
Luka 2:48 BHN (Biblia Habari Njema)
Wazazi wake walipomwona walishangaa. Maria, mama yake, akamwuliza, “Mwanangu, kwa nini umetutendea hivyo? Baba yako na mimi tumekuwa tukikutafuta kwa huzuni.”
Shirikisha
Luka 2 BHNLuka 2:48 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na walipomwona walishangaa, na mama yake akamwambia, Mwanangu, mbona umetutenda hivi? Tazama, baba yako na mimi tulikuwa tukikutafuta kwa huzuni.
Shirikisha
Luka 2 SUVLuka 2:48 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Na walipomwona walishangaa, na mama yake akamwambia, Mwanangu, mbona umetutenda hivi? Tazama, baba yako na mimi tulikuwa tukikutafuta kwa huzuni.
Shirikisha
Luka 2 SRUVLuka 2:48 NEN (Neno)
Yusufu na Mariamu mama yake walipomwona walishangaa. Mama yake akamuuliza, “Mwanangu, mbona umetufanyia hivi? Tazama, mimi na baba yako tumekuwa tukikutafuta kwa wasiwasi mkubwa kila mahali.”
Shirikisha
Luka 2 NEN