Luka 9:24
Luka 9:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana, mtu anayetaka kuyaokoa maisha yake mwenyewe, atayapoteza; lakini anayeyapoteza maisha yake kwa ajili yangu, atayaokoa.
Shirikisha
Soma Luka 9Luka 9:24 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa kuwa mtu atakaye kuiponya nafsi yake ataiangamiza, na mtu atakayeiangamiza nafsi yake kwa ajili yangu ndiye atakayeisalimisha.
Shirikisha
Soma Luka 9