Luka 9:28-29
Luka 9:28-29 Biblia Habari Njema (BHN)
Yapata siku nane baada ya kusema hayo, Yesu aliwachukua Petro, Yohane na Yakobo, akaenda nao mlimani kusali. Alipokuwa akisali, sura yake ilibadilika, mavazi yake yakawa meupe na kungaa sana.
Shirikisha
Soma Luka 9Luka 9:28-29 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Baada ya maneno hayo yapata siku nane, aliwatwaa Petro na Yohana na Yakobo, akapanda mlimani ili kuomba. Ikawa katika kusali kwake sura ya uso wake ikageuka, mavazi yake yakawa meupe, yakimeta-meta.
Shirikisha
Soma Luka 9