Malaki 2:17
Malaki 2:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Mmemchosha Mwenyezi-Mungu kwa maneno yenu matupu. Hata hivyo, mnasema, “Tumemchoshaje?” Mmemchosha mnaposema, “Mwenyezi-Mungu huwaona kuwa wema watu wanaotenda maovu; tena anawapenda.” Au mnapouliza, “Yuko wapi yule Mungu mwenye haki?”
Shirikisha
Soma Malaki 2Malaki 2:17 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mmemchokesha BWANA kwa maneno yenu. Lakini ninyi mwasema, Tumemchokesha kwa maneno gani? Kwa kuwa mwasema, Kila atendaye mabaya ni mwema machoni pa BWANA, naye huwafurahia watu hao, au, Mungu mwenye kuhukumu yuko wapi?
Shirikisha
Soma Malaki 2